Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 26:20 Biblia Habari Njema (BHN)

(Kulikuwa na mtu mwingine pia aliyetabiri kwa jina la Mwenyezi-Mungu. Mtu huyo alikuwa anaitwa Uria mwana wa Shemaya, kutoka mji wa Kiriath-yearimu. Yeye alitabiri dhidi ya mji huu na dhidi ya nchi hii kama alivyofanya Yeremia.

Kusoma sura kamili Yeremia 26

Mtazamo Yeremia 26:20 katika mazingira