Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 26:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Je, Hezekia, mfalme wa Yuda, na watu wote wa Yuda walimuua Mika? La! Badala yake Hezekia alimwogopa Mwenyezi-Mungu na kuomba fadhili zake. Naye Mwenyezi-Mungu akabadili nia yake ya kuwaletea balaa. Lakini sisi tuko mbioni kujiletea wenyewe maafa.”

Kusoma sura kamili Yeremia 26

Mtazamo Yeremia 26:19 katika mazingira