Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 8:17 Biblia Habari Njema (BHN)

“Basi nitawaleteeni nyoka;nyoka wenye sumu wasioweza kurogwa na walozi,nao watawauma nyinyi.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 8

Mtazamo Yeremia 8:17 katika mazingira