Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 4:5 Biblia Habari Njema (BHN)

“Tangazeni huko Yuda,pazeni sauti huko Yerusalemu!Pigeni tarumbeta kila mahali nchini!Pazeni sauti na kusema:Kusanyikeni pamoja!Kimbilieni miji yenye ngome!

Kusoma sura kamili Yeremia 4

Mtazamo Yeremia 4:5 katika mazingira