Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 36:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huo ulikuwa mwezi wa tisa, na mfalme alikuwa ndani ya nyumba yake ya majira ya baridi, akiota moto wa makaa.

Kusoma sura kamili Yeremia 36

Mtazamo Yeremia 36:22 katika mazingira