Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 33:11 Biblia Habari Njema (BHN)

sauti za harusi na za furaha, sauti za waimbaji wakati wakileta tambiko za shukrani katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu:‘Mshukuruni Mwenyezi-Mungu wa majeshikwa kuwa Mwenyezi-Mungu ni mwema,kwa maana fadhili zake zadumu milele.’Nitairudishia nchi hii fanaka yake ya awali. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 33

Mtazamo Yeremia 33:11 katika mazingira