Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 33:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema: “Katika mji huu ambao mnasema umekuwa ukiwa bila watu wala wanyama, naam, katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalemu ambazo ni tupu, bila watu wala wanyama, humo kutasikika tena sauti za vicheko, sauti za furaha,

Kusoma sura kamili Yeremia 33

Mtazamo Yeremia 33:10 katika mazingira