Agano la Kale

Agano Jipya

Sefania 3:18-20 Biblia Habari Njema (BHN)

18. kama vile katika siku ya sikukuu.”Mwenyezi-Mungu asema:“Nitakuondolea maafa yako,nawe hutahitaji kuona aibu kwa ajili yake.

19. Wakati huo, nitawaadhibu wote wanaokukandamiza.Nitawaokoa vilema na kuwakusanya waliotupwa,na kubadili aibu yao kuwa sifana fahari duniani kote.

20. Wakati huo nitawakusanya,na kuwafanya mjulikane na kusifiwa,miongoni mwa watu wote dunianinitakapowarudishia hali yenu njemananyi muone kwa macho yenu wenyewe.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Sefania 3