Agano la Kale

Agano Jipya

Sefania 3:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huo nitawakusanya,na kuwafanya mjulikane na kusifiwa,miongoni mwa watu wote dunianinitakapowarudishia hali yenu njemananyi muone kwa macho yenu wenyewe.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Sefania 3

Mtazamo Sefania 3:20 katika mazingira