Wakati huo, nitawaadhibu wote wanaokukandamiza.Nitawaokoa vilema na kuwakusanya waliotupwa,na kubadili aibu yao kuwa sifana fahari duniani kote.