7. Waliporudi waliongozwa na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Azaria, Raamia, Nahamani, Mordekai, Bilshani, Misperethi, Bigwai, Nehumu na Baana. Ifuatayo ni idadi ya watu wa koo za Israeli waliorudi toka uhamishoni:
8. Watu wa ukoo wa Paroshi: 2,172;
9. wa ukoo wa Shefatia: 372;
10. wa ukoo wa Ara: 652;
11. wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,818;
12. wa ukoo wa Elamu: 1,254;
13. wa ukoo wa Zatu: 845;
14. wa ukoo wa Zakai: 760;
15. wa ukoo wa Binui: 648;
16. wa ukoo wa Bebai: 624;
17. wa ukoo wa Azgadi: 2,322;
18. wa ukoo wa Adonikamu: 667;
19. wa ukoo wa Bigwai: 2,067;
20. wa ukoo wa Adini: 655;