Agano la Kale

Agano Jipya

2 Samueli 15:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati Absalomu alipokuwa akitoa tambiko, alituma ujumbe mjini Gilo kumwita Ahithofeli, Mgilo, aliyekuwa mshauri wa mfalme Daudi. Uasi wa Absalomu ukazidi kupata nguvu na watu walioandamana naye wakazidi kuongezeka.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 15

Mtazamo 2 Samueli 15:12 katika mazingira