Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 22:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme wa Aramu alikuwa amewaamuru makapteni wake thelathini na wawili waliosimamia magari yake ya kukokotwa, akisema: “Msipigane na mtu yeyote yule, mkubwa au mdogo, ila tu na mfalme wa Israeli.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 22

Mtazamo 1 Wafalme 22:31 katika mazingira