Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 22:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati, “Mimi nitavaa mavazi yasiyo ya kifalme na kuingia vitani lakini wewe utavaa mavazi yako ya kifalme.” Hivyo mfalme wa Israeli akaenda vitani bila kuvaa mavazi ya kifalme.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 22

Mtazamo 1 Wafalme 22:30 katika mazingira