Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 20:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa Israeli na Waaramu walipiga kambi kwa muda wa siku saba, wakikabiliana; siku ya saba, mapigano yakaanza. Siku hiyohiyo, watu wa Israeli wakaua askari wa miguu 100,000.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 20

Mtazamo 1 Wafalme 20:29 katika mazingira