Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 20:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Waliosalia, walikimbilia mjini Afeka. Huko, kuta za mji ziliwaangukia na kuwaua watu 27,000 waliobakia. Ben-hadadi pia alikimbia na kujificha katika chumba fulani cha ndani, mjini.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 20

Mtazamo 1 Wafalme 20:30 katika mazingira