Agano la Kale

Agano Jipya

Yakobo 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Tena, mnapoomba hampati kwa sababu mnaomba kwa nia mbaya; mnaomba ili mpate kutosheleza tamaa zenu.

Kusoma sura kamili Yakobo 4

Mtazamo Yakobo 4:3 katika mazingira