Agano la Kale

Agano Jipya

Yakobo 4:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mnatamani vitu na kwa vile hamvipati mko tayari kuua; mwatamani sana kupata vitu, lakini hamvipati; hivyo mnagombana na kupigana. Hampati kile mnachotaka kwa sababu hamkiombi kwa Mungu.

Kusoma sura kamili Yakobo 4

Mtazamo Yakobo 4:2 katika mazingira