Agano la Kale

Agano Jipya

Yakobo 4:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyinyi ni watu msio na uaminifu kama wazinzi. Je, hamjui kwamba kuwa rafiki wa ulimwengu ni kuwa adui wa Mungu? Yeyote anayetaka kuwa rafiki wa ulimwengu anajifanya adui wa Mungu.

Kusoma sura kamili Yakobo 4

Mtazamo Yakobo 4:4 katika mazingira