Agano la Kale

Agano Jipya

Yakobo 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mapigano na ugomvi wote kati yenu vinatoka wapi? Hutoka katika tamaa zenu mbaya ambazo hupigana daima ndani yenu.

Kusoma sura kamili Yakobo 4

Mtazamo Yakobo 4:1 katika mazingira