Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 9:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Na kwa wale walio nje ya sheria, naishi kama wao, nje ya sheria, ili niwapate hao walio nje ya sheria. Hii haimaanishi kwamba mimi niko nje ya sheria ya Mungu, maana nabanwa na sheria ya Kristo.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 9

Mtazamo 1 Wakorintho 9:21 katika mazingira