Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 9:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa Wayahudi nimeishi kama Myahudi ili niwapate Wayahudi; yaani, ingawa mimi siko chini ya sheria, nimejiweka chini ya sheria kwao, ili niwapate hao walio chini ya sheria.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 9

Mtazamo 1 Wakorintho 9:20 katika mazingira