Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 9:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwao walio dhaifu nimejifanya dhaifu ili niwapate hao walio dhaifu. Nimejifanya kila kitu kwa wote ili nipate kuwaokoa baadhi yao kwa kila njia.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 9

Mtazamo 1 Wakorintho 9:22 katika mazingira