Watu humimina dhahabu kutoka mifuko yao,hupima fedha kwenye mizani zao,wakamwajiri mfua dhahabu atengeneze sanamukisha huisujudu na kuiabudu!