Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 46:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Hujitwisha sanamu hiyo mabegani, wakaibeba,kisha huiweka mahali pake, ikakaa papo hapo;kamwe haiwezi hata kusogea kutoka hapo ilipo.Mtu akiililia, haiwezi kumwitikia,wala haiwezi kumwokoa mtu katika taabu zake.

Kusoma sura kamili Isaya 46

Mtazamo Isaya 46:7 katika mazingira