Mtu wa namna hiyo anaishi juu,mahali salama penye ngome na miamba;chakula chake atapewa daima,na maji yake ya kunywa hayatakosekana.