Agano la Kale

Agano Jipya

Kum. 8:3 Swahili Union Version (SUV)

Akakutweza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha BWANA.

Kusoma sura kamili Kum. 8

Mtazamo Kum. 8:3 katika mazingira