Agano la Kale

Agano Jipya

2 Sam. 16:3 Swahili Union Version (SUV)

Mfalme akasema, Na mwana wa bwana wako yuko wapi? Siba akamwambia mfalme, Angalia, anakaa Yerusalemu; kwani alisema, Leo nyumba ya Israeli watanirudishia ufalme wa baba yangu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 16

Mtazamo 2 Sam. 16:3 katika mazingira