Agano la Kale

Agano Jipya

2 Sam. 16:2 Swahili Union Version (SUV)

Mfalme akamwambia Siba, Ni za nini hizi? Siba akasema, Punda ni za jamaa ya mfalme wazipande; na mkate na matunda ni chakula cha hawa vijana; na divai ni kwamba wanywe hao wazimiao nyikani.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 16

Mtazamo 2 Sam. 16:2 katika mazingira