Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Yoshua, mwana wa Nuni, akawaita makuhani, akawaambia, “Libebeni sanduku la agano na makuhani saba wachukue mabaragumu saba za kondoo dume, watangulie mbele ya sanduku la Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:6 katika mazingira