Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 6:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Watakapopiga hayo mabaragumu kwa mlio mkubwa na mara tu mtakaposikia huo mlio, watu wote watapiga kelele kubwa, nazo kuta za mji zitaanguka chini. Ndipo watu watauvamia mji kila mmoja kutoka mahali aliposimama.”

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:5 katika mazingira