Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 6:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini yule kahaba Rahabu pamoja na watu wote wa nyumba ya baba yake, Yoshua aliyaokoa maisha yao. Rahabu akaishi miongoni mwa Waisraeli hadi leo, kwa kuwa aliwaficha wajumbe ambao Yoshua aliwatuma kwenda kuupeleleza mji wa Yeriko.

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:25 katika mazingira