Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 12:8-22 Biblia Habari Njema (BHN)

8. Nchi hizo zilikuwa pamoja na maeneo ya milima, nchi tambarare, eneo la Araba, miteremko ya milima, maeneo ya nyika, na eneo la Negebu; nchi zilizokuwa za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.

9. Wafalme waliowashinda walikuwa, mmojammoja: Mfalme wa Yeriko, mfalme wa Ai mji ulioko karibu na Betheli,

10. mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni,

11. mfalme wa Yarmuthi, mfalme wa Lakishi,

12. mfalme wa Egloni, mfalme wa Gezeri,

13. mfalme wa Debiri, mfalme wa Gederi,

14. mfalme wa Horma, mfalme wa Aradi,

15. mfalme wa Libna, mfalme wa Adulamu,

16. mfalme wa Makeda, mfalme wa Betheli,

17. mfalme wa Tapua, mfalme wa Heferi,

18. mfalme wa Afeka, mfalme wa Lasharoni,

19. mfalme wa Madoni, mfalme wa Hazori,

20. mfalme wa Shimron-meroni, mfalme wa Akshafi,

21. mfalme wa Taanaki, mfalme wa Megido,

22. mfalme wa Kedeshi, mfalme wa Yokneamu mji ulioko kwenye mlima Karmeli,

Kusoma sura kamili Yoshua 12