Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 11:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Ilikuwa ni matakwa ya Mwenyezi-Mungu mwenyewe kuishupaza mioyo ya watu wa mataifa hayo ili wapigane. Alikusudia wasihurumiwe ila wateketezwe. Ndivyo Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:20 katika mazingira