Agano la Kale

Agano Jipya

Yoeli 3:19-21 Biblia Habari Njema (BHN)

19. “Misri itakuwa mahame,Edomu itakuwa jangwa tupu,kwa sababu waliwashambulia watu wa Yudawakawaua watu wasio na hatia.

20. Bali Yuda itakaliwa milele,na Yerusalemu kizazi hata kizazi.

21. Nitawaadhibu waliomwaga damu ya watu wa Yudawala sitawaachia wenye hatia.Mimi, Mwenyezi-Mungu nakaa Siyoni.”

Kusoma sura kamili Yoeli 3