Agano la Kale

Agano Jipya

Yobu 42:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu alipomaliza kuongea na Yobu, alimwambia Elifazi, Mtemani, “Ghadhabu yangu imewaka dhidi yako na marafiki zako wawili kwani hamkusema ukweli juu yangu kama mtumishi wangu Yobu alivyofanya.

Kusoma sura kamili Yobu 42

Mtazamo Yobu 42:7 katika mazingira