Agano la Kale

Agano Jipya

Yobu 12:23-25 Biblia Habari Njema (BHN)

23. Huyakuza mataifa kisha huyaangamiza,huyafanya yapanuke kisha huyatawanya.

24. Huwaondolea viongozi wa watu ujuzi wao,huwafanya watangetange nyikani kusiko na njia,

25. wakapapasapapasa gizani kusiko na mwanga;na kuwafanya wapepesuke kama walevi.

Kusoma sura kamili Yobu 12