Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 8:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, mifupa ya wafalme wa Yuda, mifupa ya wakuu wao, mifupa ya makuhani, mifupa ya manabii na mifupa ya wakazi wote wa Yerusalemu itachimbuliwa makaburini mwao.

Kusoma sura kamili Yeremia 8

Mtazamo Yeremia 8:1 katika mazingira