Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 7:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini niliwapa amri hii: Waitii sauti yangu ili niwe Mungu wao, nao wawe watu wangu. Niliwaamuru pia waishi kama nilivyowaagiza, ili mambo yao yawaendee vema.

Kusoma sura kamili Yeremia 7

Mtazamo Yeremia 7:23 katika mazingira