Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 6:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Je, waliona aibu walipofanya machukizo hayo?La! Hawakuona aibu hata kidogo.Hawakujua hata namna ya kuona aibu.Kwa hiyo wataanguka pamoja na wale waangukao;wakati nitakapowaadhibu,wataangamizwa kabisa.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 6

Mtazamo Yeremia 6:15 katika mazingira