Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 39:16 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nenda ukamwambie hivi Ebedmeleki, Mwethiopia: Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi: Tazama mimi nitatimiza mambo yale niliyotamka dhidi ya mji huo na sio mambo mema. Mambo hayo yatakamilika siku hiyo ukiona wewe mwenyewe.

Kusoma sura kamili Yeremia 39

Mtazamo Yeremia 39:16 katika mazingira