Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 37:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Sasa nakuomba unisikilize, ee bwana wangu mfalme. Nakusihi sana ulikubali ombi langu. Tafadhali usinirudishe tena gerezani katika nyumba ya katibu Yonathani, nisije nikafia humo.”

Kusoma sura kamili Yeremia 37

Mtazamo Yeremia 37:20 katika mazingira