Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 29:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitawaandama kwa upanga, njaa na maradhi mabaya. Nitawafanya kuwa kitu cha kuchukiza kwa tawala zote za dunia, naam, kitu cha laana, kioja, dharau na kitu cha kupuuzwa katika mataifa yote nilikowafukuzia.

Kusoma sura kamili Yeremia 29

Mtazamo Yeremia 29:18 katika mazingira