Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 22:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:Mwandike mtu huyu kwamba hana watoto,mtu ambaye hatafanikiwa maishani mwake.Maana hakuna hata mmoja wa wazawa wakeatakayekikalia kiti cha enzi cha Daudina kutawala tena katika Yuda.

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:30 katika mazingira