Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 22:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Wewe wasema:‘Nitalijenga jumba kubwa,lenye vyumba vikubwa ghorofani.’Kisha huifanyia madirisha,ukafunika kuta zake kwa mbao za mierezi,na kuipaka rangi nyekundu!

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:14 katika mazingira