Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 19:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa maana watu wameniacha mimi na kupatia unajisi mahali hapa kwa kufukizia ubani miungu mingine; miungu ambayo wao wenyewe, wazee wao wala wafalme wa Yuda hawajapata kuijua. Pia wamepajaza mahali hapa damu ya watu wasio na hatia,

Kusoma sura kamili Yeremia 19

Mtazamo Yeremia 19:4 katika mazingira