Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 14:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi kuhusu hao manabii wanaotabiri kwa jina langu, ingawa mimi sikuwatuma, na wanaosema kwamba hapatakuwa na vita wala njaa katika nchi hii: Manabii hao wataangamia kwa upanga na kwa njaa.

Kusoma sura kamili Yeremia 14

Mtazamo Yeremia 14:15 katika mazingira