Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 14:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye Mwenyezi-Mungu, akaniambia: “Hao manabii wanatoa unabii wa uongo kwa jina langu. Mimi sikuwatuma, wala sikuwaamuru, wala sikusema nao. Wanawatabiria maono ya uongo, maaguzi yasiyo na maana yoyote, uongo wanaojitungia wenyewe.

Kusoma sura kamili Yeremia 14

Mtazamo Yeremia 14:14 katika mazingira