Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 13:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Nimeyaona machukizo yako:Naam, uzinifu wako na uzembe wako,na uasherati wako wa kupindukia,juu ya milima na mashambani.Ole wako ee Yerusalemu!Mpaka lini utakaa bila kutakaswa?”

Kusoma sura kamili Yeremia 13

Mtazamo Yeremia 13:27 katika mazingira