Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 11:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Nami nilikuwa kama kondoo mpole anayepelekwa machinjoni;sikujua kuwa njama walizofanya zilikuwa dhidi yangu.Walisema: “Na tuuharibu mti pamoja na matunda yake,tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai,kamwe jina lake lisikumbukwe tena.”

Kusoma sura kamili Yeremia 11

Mtazamo Yeremia 11:19 katika mazingira